Thursday, 16 June 2016

MARUFUKU KUPIGA AU KUCHEZA MZIKI GAMBIA KATIKA MWEZI MTUKUFU WA RAMADHANI.




                                                           
         Yahya Jammeh

                                                        


Serikali ya Gambia imetangaza rasmi ni marufuku kupiga muziki katika kumbi zote za starehe katika mwezi mzimaa wa Ramadhani na kwamba polisi watachukua hatua kali kwa yeyote ambaye atakiuka sheria hiyo na polisi wameumba ushirikiano kwa wananchi kutoa taarifa mahala husika watakapo ona ukiukwaji wa sheria kama hiyo,hatua hiyo imefikia baada ya mnamo Desema mwaka 2015 kutangaza taifa Rasmi la kiislamu.

No comments :